Francis Cheka Vs Vijender singh "Full Fight"
- Ngwenje Tv Report
- Jan 24, 2018
- 1 min read
Bondia Francis Cheka wa Tanzania,amepigwa kwa knockout (KO) raundi ya tatu na Vijender Singh katika pambano lililofanyika Uwanja wa Thyagaraj mjini New Delhi, India.
Comments