Ellen Johnson-Sirleaf avuliwa uanachama UP
- Ngwenje Tv Report
- Jan 15, 2018
- 1 min read

Chama tawala nchini Liberia, kimemfukuza na kumvua uanachama Rais wa nchi hiyo, Chama hicho cha UP kimeeleza kuwa, Sirleaf alivunja katiba ya chama kwa kushindwa kumuunga mkono mgombea wao wa Urais, na badala yake kusaidia kampeni za mpinzani, George Weah.
Comments