Dr. Mwigulu na Wasira waunguruma katika uzinduzi wa kampeni za CCM Kinondoni.
- Ngwenje Tv Report
- Jan 28, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefanya uzinduzi wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.
Comments