Dkt Shein ataka uchunguzi juu ya shule za Zanzibar kufanya vibaya
- Ngwenje Tv Report
- Feb 10, 2018
- 1 min read
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein imeiagiza wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini changamoto zilizosababisha shule za Zanzibar kufanya vibaya katika matokeo ya mtihani taifa wa kidato cha nne wa mwaka jana
Comments