top of page
  • YouTube Social  Icon
  • Instagram Social Icon
  • Twitter Social Icon
  • Facebook Social Icon
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu

DIAMOND PLATNUMZ- AZICHANA MEDIA ZINAZO WABANIA WASANII

  • Writer: Ngwenje Tv Report
    Ngwenje Tv Report
  • Mar 20, 2018
  • 1 min read

DIAMOND PLATNUMZ- AZICHANA MEDIA ZINAZO WABANIA WASANII

Ngwenje Tv- MWANAMUZIKI NGULI WA BONGO FLAVA EAST AFRICA Nasibu Abdul Diamond Platinumz amesema kuwa ushirikiano wa pamoja kati ya vyombo vya habari na wasanii ndio njia pekee ya kuinua music wa tanzania.

Amesema kuwa vyombo vinavyoendeleza chuki na uhasama na kubania nyimbo za wasanii hawatopata chochote zaidi ya kutengeneza marumbano yasiyo ya lazima hivyo waache tabia hiyo.

amesema kuanzishwa kwa Wasafi Radio& Tv hakuna maana yakuja kushindana na vyombo vilivyotangulia bali ni kuja kuunga mkono juhudi kubwa wanazo zifanaya kuwa letea maendeleo watanzania na kwamba vyombo vyake havitabagua wasanii kama Ali kiba nyimbo zao zitapigwa kila msanii.


FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;

Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/

Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/

Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje

Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...

website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news






Comments


Sign-Up to Our Newsletter

© 2018 Ngwenje Tv

bottom of page