Diamond kafunguka kolabo na Alikiba
- Ngwenje Tv Report
- Jan 29, 2018
- 1 min read
Katika Usiku wa kumtambulisha Maromboso WCB Mkubwa Fella alisema kuwa anatamani kumuona Diamond akifanya Kolabo na Alikiba kabla hajafa, sasa kwenye Exclusive interview Diamond alipoulizwa kuhusu hilo alijibu na kusema kuwa atafanya kolabo na Alikiba kwani hakuna Ubaya.
Σχόλια