KituoCha Aduwau Mustajaba wakamilisha maombi yaoKwa Rais Dk.John Pombe Magufuli. Makamu waRais Mama Samia Suluhu HASAN. Waziri MKUU Mhe.Kassim Majaliwa Na MKUU WA Mkoa Dar esalaam Paul Makonda.Duailisomwa Jana ukonga madafu jijini Dar nakuhudhuriwa nawanachama.masheikhe naWatu mbalimbali.
Aidha Dua namaombi hayo yalielekezwa kuwaombea viongozi wadini akiwemo Mufti. SHEIKHE waMkoa WA Dar nawatu wengine wenyeshida mbalimbali.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments