Muandaaji wa mashindano ya miss dodoma 2018 Alex Niktas smesema kuwa mashindano ya kumtafuta mrembo atakae uwakilisha mkoa wa Dodoma katika mashindano ya kimataifa ya miss Tanzania yatapambwa na burudani kutoka kwa msanii wa bongo flava hapa nchini maarufu kwa jina la Mo Flavour. Akizungumza na Ngwenje Tv katika ofice ya Haki Kwanza Advocate Magomeni Mwembe Chai jijini Dar Es Salaam Niktas amesema kamati yake imepitisha jina la msanii huyo baada ya kuridhika na kazi zake za sanaa za Mo Flavour pia wamempa kazi ya kutunga nyimbo inayohusu mashinda hayo.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments