Kituo cha maombi cha Aduau Mustajaba kimeandaa dua ya maombi malumu kuiombea Tanzania Amani na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, Makamu wa Rais Mama Samia Suruhu Hasani, Waziri Mkuu na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Maombi hayo yatafanyika siku ya Jtano wki ijayo.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments