WAFANYABIASHARA wa soko la Manzese Manispaa ya Morogoro wameiomba serikali kuangalia uwezekano kuzalisha kwa wingi mifuko mbadala kwani upatikanaji wake kwa sasa haulingani na uhitaji huku bei ikiwa si rafiki kwao wateja wanashindwa kumudu gharama ya kununua
top of page
bottom of page
Comentários