Mke mkubwa wa Mufti wa Tanzania Sheikhe Abubakar Zubeir,Atazikwa Leo kijiji cha kwamndolwa Wilayani Korogwe Mkoani Tanga. Mazishi hayo ya marehemu Hidaya Omari,yanatarajiwa kuhudhuriwa na Mamia na maelfu ya Wa Tanzania wakiwemo Masheikhe,waumini wa madhehebu Dini mbalimbali na viongozi wa vyama na Serikali. Katibu Mkuu wa Bakwata Mwalimu Nuhu Mruma ameeleza kuwa marehemu Hidaya Omari,mama Shafii amefariki usiku wa kuamkia. Jumatano Jana katika Hospitali ya kwamndolwa alipopelekwa baada ya kuugua ghafla. Mwalimu Nuhu Mruma,ameongeza kusema kuwa marehemu alikuwa mzima wa Afya mpaka Siku ya jumanne ilipofika SAA tatu usiku alipoanza kujisikia vibaya kuumwa ndipo walipompeleka Hospitalini hapo nailipofika saasaba usiku kuamkia Jana jumatano akafariki Dunia. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA AMINI
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
blogspot- http://ngwenjetv.blogspot.com/
Comentarios