top of page
  • YouTube Social  Icon
  • Instagram Social Icon
  • Twitter Social Icon
  • Facebook Social Icon
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu

BREAKING NEWS MOROGORO: MWAKYEMBE ATAKA SEHEMU ZA KIMILA KUTAMBULIKA

  • Writer: Ngwenje Tv Report
    Ngwenje Tv Report
  • Jan 29, 2019
  • 1 min read

Morogoro KATIKA kuhakikisha wananchi wanaendelea kuenzi mila na desturi zilizoachwa na viongozi wa makabila WAZIRI wa habari ,utamaduni sanaa na michezo Dokta Harrison Mwakyembe ameiagiza kurugenzi ya utamaduni kufika katika eneo ambalo linamilikiwa na chifu kingalu M wanabanzi wa kumi na tano ili kuweka kumbukumbu na historia kwa vizazi vijavyo Dokta Mwakyembe ameyasema hayo wakati wa makabidhiano ya Mali Kale kati ya Serikali na Kiongozi wa kimila wa Kabila la Waluguru Chifu Kingalu Mwanabanzi wa kumi na tano, mali hizo zinadaiwa kupotea tangu miaka mia moja iliyopita na kushangazwa na baadhi ya watu wasio waaaminifu walioshiriki kuuuza mali hizo kwa wakoloni jambo ambalo linapelekea watu kutohehimu mila zao na kufuata tamaduni za njeDokta Harison Mwakyembe WAZIRI wa habari ,utamaduni sanaa na michezo Akisoma Risala kwa niba ya chifu Kingalu Mwanabanzi Bi Gaudensia Donati ameisisitizia serikali kuona umuhimu wa kuweka kumbukumbu vitu hivyo vya kale ili kuwa sehemu ya utalii Bw. Bi Gaudensi Donati Msoma Risala Naye katibu wa chifu huyo B w Semen Mwinyimvua amesmea kuwa vitu hivyo vimeibwa na wakoloni tangu miaka miamoja iliyopita na vimekuwa vikiuzwa kwa watu tofauti kutokana na kila aliyeuziwa kutokewa na mambo ya ajabu huku mmja wa wakazi wa Kinole Bw Selemani Mtunu akaeleza umuhimu wa kuheshimu mila na desturi. Bw Semen Mwinyimvua katibu wa Chifu Kingalu mwanabanzi wa 15.

FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;


Σχόλια


Sign-Up to Our Newsletter

© 2018 Ngwenje Tv

bottom of page