top of page
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu
Writer's pictureNgwenje Tv Report

BALAA!: Viuno Vya Amber Lulu Vyamtoa Nishai T-Touch

BALAA!: Viuno Vya Amber Lulu Vyamtoa Nishai T-Touch Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu, katika usiku kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtayalishaji wa muziki T-Touch anayejulikana kwa kutengeneza nyimbi kali za miondoko ya bongo fleva,Amber lulu alitoa mpyab baada ya kumvaa Jamaa huyo kwa kumuonyesha manjonjo ya viuno mpaka T-Touch kuomba udhuru ya kwenda faragha kwani alidai anahitaji kuongea na simu kwa muda,sherehe hiyo ilifanyika katika ' ukumbi wa 'Kwetu pazuri' Uliopo tabata jijini Dar es Salaam


14 views0 comments

Comentarii


bottom of page