AMEZALIWA MWANDISHI MKONGWE NIKSON MKILANYA
Ngwenje Tv- Katika kuthamini mchango mkubwa anaoutoa kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla ngwenjetv inaungana na mamia ya Watanzania kumtakia maisha marefu,Afya na uzima hususani mafanikio katika shughuli zake mwandishi mwenzetu wa habari mkongwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari mkoani Morogoro,Niksoni Mkilanya maarufu Nikfado mutu ya watu Hivyo nawataka watu wengine kumuwish kama walivyofanya vingozi mbali mbali wa siasa akiwemo Mbunge wa Gairo Mhe,Ahmed Shabiby na washirika wake kujitokeza hadharani kumtakia maisha mema mwenzetu Mkilanya pia naungana na Viongozi wastahafu wa MOROPC Azizi Msuya na IDDA Mushi,na Waandishi wengine tumeonyesha umoja wa kweli tuendelee hivyo.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments