Ajali Mbaya Yatokea Maeneo ya Sinza Mapambano.
- Ngwenje Tv Report
- Feb 10, 2018
- 1 min read
Watu wawili wamedaiwa kuumia vibaya baada ya bajaji namba MC 957AHQ waliyokuwa wamepanda kugongwa na Toyota Land Cruser T999 EGS maeneo ya Shele ya Msingi Mapambano jijini Dar es Salaam.
Comments